Kut. 27:3 SUV

3 Na vyombo vyake vya kuyaondoa majivu yake utavifanya, na majembe yake, na mabakuli yake, na uma zake, na meko yake; vyombo vyake vyote utavifanya vya shaba.

Kusoma sura kamili Kut. 27

Mtazamo Kut. 27:3 katika mazingira