Kut. 28:1 SUV

1 Nawe umlete Haruni ndugu yako karibu nami, na wanawe pamoja naye, miongoni mwa wana wa Israeli, ili anitumikie katika kazi ya ukuhani. Haruni, na Nadabu, na Abihu, na Eleazari, na Ithamari, wana wa Haruni.

Kusoma sura kamili Kut. 28

Mtazamo Kut. 28:1 katika mazingira