Kut. 28:26 SUV

26 Nawe utafanya pete mbili za dhahabu, uzitie katika hizo ncha mbili za kifuko cha kifuani, katika ukingo wake, ulio upande wa naivera ulio ndani.

Kusoma sura kamili Kut. 28

Mtazamo Kut. 28:26 katika mazingira