Kut. 28:28 SUV

28 Nao watakikaza kile kileso kwa zile pete zake kwenye pete za naivera kwa ukanda wa rangi ya samawi, ili kwamba kikae pale juu ya ule mshipi wa naivera uliosukwa kwa ustadi, ili kwamba kifuko cha kifuani kisiachane na naivera.

Kusoma sura kamili Kut. 28

Mtazamo Kut. 28:28 katika mazingira