37 Nawe ulitie hilo bamba katika ukanda wa rangi ya samawi, nalo litakuwa katika kile kilemba; litakuwa upande wa mbele wa kile kilemba.
Kusoma sura kamili Kut. 28
Mtazamo Kut. 28:37 katika mazingira