Kut. 28:41 SUV

41 Nawe mvike huyo nduguyo Haruni na wanawe nao mavazi hayo; nawe watie mafuta, na kuwaweka kwa kazi takatifu, na kuwatakasa, ili wapate kunitumikia mimi katika kazi ya ukuhani.

Kusoma sura kamili Kut. 28

Mtazamo Kut. 28:41 katika mazingira