Kut. 28:6 SUV

6 Nao waifanye naivera kwa nyuzi za dhahabu, na za samawi, na za zambarau, na nyekundu, na kitani nzuri yenye kusokotwa kwa kazi ya mstadi.

Kusoma sura kamili Kut. 28

Mtazamo Kut. 28:6 katika mazingira