Kut. 29:1 SUV

1 Nawe uwafanyie jambo hili, ili kuwatakasa, wapate kunitumikia mimi katika kazi ya ukuhani; twaa ng’ombe mmoja mume kijana, na kondoo waume wawili walio wakamilifu,

Kusoma sura kamili Kut. 29

Mtazamo Kut. 29:1 katika mazingira