12 Kisha twaa baadhi ya damu ya ng’ombe, uitie katika pembe za madhabahu kwa kidole chako; na kuimimina damu yote chini ya madhabahu.
Kusoma sura kamili Kut. 29
Mtazamo Kut. 29:12 katika mazingira