Kut. 29:14 SUV

14 Lakini nyama yake huyo ng’ombe, na ngozi yake, na mavi yake, utayachoma kwa moto nje ya marago; ni sadaka kwa ajili ya dhambi.

Kusoma sura kamili Kut. 29

Mtazamo Kut. 29:14 katika mazingira