24 nawe utavitia hivi vyote katika mikono ya Haruni, na katika mikono ya wanawe; nawe utavitikisa-tikisa viwe sadaka ya kutikiswa mbele za BWANA.
Kusoma sura kamili Kut. 29
Mtazamo Kut. 29:24 katika mazingira