Kut. 29:33 SUV

33 Nao watakula vile vitu ambavyo upatanisho ulifanywa kwa hivyo, ili kuwaweka kwa kazi takatifu na kuwatakasa; lakini mgeni asivile, maana, ni vitu vitakatifu.

Kusoma sura kamili Kut. 29

Mtazamo Kut. 29:33 katika mazingira