Kut. 29:36 SUV

36 Kila siku utamtoa ng’ombe wa sadaka ya dhambi kwa ajili ya upatanisho; nawe utaisafisha hiyo madhabahu, hapo utakapofanya upatanisho kwa ajili ya hiyo madhabahu; nawe utaitia mafuta, ili kuitakasa.

Kusoma sura kamili Kut. 29

Mtazamo Kut. 29:36 katika mazingira