Kut. 29:42 SUV

42 Itakuwa ni sadaka ya kuteketezwa milele katika vizazi vyenu vyote mlangoni pa ile hema ya kukutania mbele ya BWANA; hapo nitakapokutana nanyi, ili ninene na wewe hapo.

Kusoma sura kamili Kut. 29

Mtazamo Kut. 29:42 katika mazingira