Kut. 29:46 SUV

46 Nao watanijua kuwa mimi ndimi BWANA, Mungu wao, niliyewaleta watoke katika nchi ya Misri, nipate kukaa kati yao; ni mimi BWANA Mungu wao.

Kusoma sura kamili Kut. 29

Mtazamo Kut. 29:46 katika mazingira