Kut. 29:5 SUV

5 Kisha twaa hayo mavazi na kumvika Haruni; itie kanzu, na joho ya naivera, na naivera, na kifuko cha kifuani, na kumkaza kwa huo mshipi wa naivera uliosukwa kwa ustadi;

Kusoma sura kamili Kut. 29

Mtazamo Kut. 29:5 katika mazingira