Kut. 3:13 SUV

13 Musa akamwambia Mungu, Tazama, nitakapofika kwa wana wa Israeli, na kuwaambia, Mungu wa baba zenu amenituma kwenu; nao wakaniuliza, Jina lake n’nani? Niwaambie nini?

Kusoma sura kamili Kut. 3

Mtazamo Kut. 3:13 katika mazingira