Kut. 3:6 SUV

6 Tena akasema, Mimi ni Mungu wa baba yako, Mungu wa Ibrahimu, Mungu wa Isaka, na Mungu wa Yakobo. Musa akaficha uso wake; kwa maana aliogopa kumwangalia Mungu.

Kusoma sura kamili Kut. 3

Mtazamo Kut. 3:6 katika mazingira