Kut. 30:15 SUV

15 Matajiri hawataleta zaidi, wala maskini hawataleta kilichopungua, katika hiyo nusu shekeli, watakapotoa hiyo sadaka ya BWANA, ili kufanya upatanisho kwa ajili ya roho zenu.

Kusoma sura kamili Kut. 30

Mtazamo Kut. 30:15 katika mazingira