Kut. 30:4 SUV

4 Kisha utaifanyia pete mbili za dhahabu, chini ya ukingo wake katika mbavu zake mbili, katika pande zake mbili utazifanya; nazo zitakuwa mahali pa kuitia miti ya kuichukulia.

Kusoma sura kamili Kut. 30

Mtazamo Kut. 30:4 katika mazingira