Kut. 31:6 SUV

6 Tena, tazama, nimemchagua, awe pamoja naye, huyo Oholiabu, mwana wa Ahisamaki, wa kabila ya Dani; nami nimetia hekima katika mioyo ya wote wenye moyo wa hekima, ili wapate kufanya vyote nilivyokuagiza;

Kusoma sura kamili Kut. 31

Mtazamo Kut. 31:6 katika mazingira