Kut. 32:11 SUV

11 Musa akamsihi sana BWANA, Mungu wake, na kusema, BWANA, kwa nini hasira zako kuwaka juu ya watu wako uliowaleta kutoka nchi ya Misri kwa uweza mkuu, na kwa mkono wenye nguvu?

Kusoma sura kamili Kut. 32

Mtazamo Kut. 32:11 katika mazingira