30 Hata asubuhi yake Musa akawaambia watu, Mmetenda dhambi kuu; na sasa nitakwenda juu kwa BWANA, labda nitafanya upatanisho kwa ajili ya dhambi yenu.
Kusoma sura kamili Kut. 32
Mtazamo Kut. 32:30 katika mazingira