Kut. 32:34 SUV

34 Basi sasa uende ukawaongoze watu hawa mpaka mahali pale ambapo nimekwambia habari zake; tazama, malaika wangu atakutangulia; pamoja na hayo siku nitakayowajilia nitawapatiliza kwa ajili ya dhambi yao.

Kusoma sura kamili Kut. 32

Mtazamo Kut. 32:34 katika mazingira