Kut. 32:7 SUV

7 BWANA akamwambia Musa, Haya! Shuka; kwa maana watu wako uliowatoa katika nchi ya Misri wamejiharibu nafsi zao,

Kusoma sura kamili Kut. 32

Mtazamo Kut. 32:7 katika mazingira