19 Akasema, Nitapitisha wema wangu wote mbele yako, nami nitalitangaza jina la BWANA mbele yako; nami nitamfadhili yeye nitakayemfadhili; nitamrehemu yeye nitakayemrehemu.
Kusoma sura kamili Kut. 33
Mtazamo Kut. 33:19 katika mazingira