Kut. 34:10 SUV

10 Akasema, Tazama, nafanya agano; mbele ya watu wangu wote nitatenda miujiza, ya namna isiyotendeka katika dunia yote, wala katika taifa lo lote; na watu wote ambao unakaa kati yao wataona kazi ya BWANA, kwa maana ni neno la kutisha nikutendalo.

Kusoma sura kamili Kut. 34

Mtazamo Kut. 34:10 katika mazingira