13 Bali utabomoa madhabahu zao, na kuvunja-vunja nguzo zao, na kuyakata-kata maashera yao.
Kusoma sura kamili Kut. 34
Mtazamo Kut. 34:13 katika mazingira