15 Usije ukafanya agano na wenyeji wa nchi, watu wakaenda kufanya uzinzi na miungu yao, na kuitolea sadaka miungu yao; mtu mmoja akakuita, ukaila sadaka yake.
Kusoma sura kamili Kut. 34
Mtazamo Kut. 34:15 katika mazingira