Kut. 34:34 SUV

34 Lakini desturi ya Musa ilikuwa alipoingia mbele za BWANA kusema naye, kuuvua huo utaji mpaka atoke; akatoka akawaambia wana wa Israeli maneno yote aliyoambiwa.

Kusoma sura kamili Kut. 34

Mtazamo Kut. 34:34 katika mazingira