Kut. 35:29 SUV

29 Wana wa Israeli wakaleta sadaka za kumpa BWANA kwa moyo wa kupenda; wote, waume kwa wake, ambao mioyo yao iliwafanya kuwa wapenda kuleta kwa hiyo kazi, ambayo BWANA aliamuru ifanywe kwa mkono wa Musa.

Kusoma sura kamili Kut. 35

Mtazamo Kut. 35:29 katika mazingira