Kut. 36:15 SUV

15 Urefu wa kila pazia ulikuwa ni dhiraa thelathini, na upana wa kila pazia ulikuwa ni dhiraa nne; hayo mapazia yote kumi na moja yalikuwa ya kipimo kimoja.

Kusoma sura kamili Kut. 36

Mtazamo Kut. 36:15 katika mazingira