Kut. 36:19 SUV

19 Kisha akafanya kifuniko kwa ajili ya hiyo hema cha ngozi za kondoo waume zilizotiwa rangi nyekundu; tena juu yake akafanya kifuniko cha ngozi za pomboo.

Kusoma sura kamili Kut. 36

Mtazamo Kut. 36:19 katika mazingira