Kut. 36:29 SUV

29 Nazo zilikuwa mbao pacha upande wa chini, vivyo zilishikamana pamoja hata ncha ya juu kufikilia pete ya kwanza; ndivyo alivyofanya zote mbili katika hizo pembe mbili.

Kusoma sura kamili Kut. 36

Mtazamo Kut. 36:29 katika mazingira