Kut. 38:11 SUV

11 Upande wa kaskazini ulikuwa ni dhiraa mia vivyo, nguzo zake ishirini na matako yake ishirini, yalikuwa ni ya shaba; kulabu za nguzo na vitanzi vyake vilikuwa vya fedha.

Kusoma sura kamili Kut. 38

Mtazamo Kut. 38:11 katika mazingira