Kut. 38:19 SUV

19 Na nguzo zake zilikuwa nne, na matako yake manne, yalikuwa ya shaba; kulabu zake zilikuwa za fedha, na vichwa vyake na vitanzi vyake vilikuwa vya fedha.

Kusoma sura kamili Kut. 38

Mtazamo Kut. 38:19 katika mazingira