Kut. 39:1 SUV

1 Na zile nyuzi za rangi ya samawi, na nyuzi za rangi ya zambarau, na nyekundu, wakafanya mavazi yaliyofumwa kwa ustadi sana kwa ajili ya kutumika katika mahali patakatifu, na kuyafanya hayo mavazi matakatifu ya Haruni, vile vile kama BWANA alivyomwagiza Musa.

Kusoma sura kamili Kut. 39

Mtazamo Kut. 39:1 katika mazingira