Kut. 39:14 SUV

14 Na hivyo vito vilikuwa vyaandama majina ya wana wa Israeli, kumi na mawili, sawasawa na majina yao; mfano wa kuchora muhuri, kila moja kwa jina lake, kwa zile kabila kumi na mbili.

Kusoma sura kamili Kut. 39

Mtazamo Kut. 39:14 katika mazingira