Kut. 39:33 SUV

33 Nao wakamletea Musa hiyo maskani; yaani Hema, na vyombo vyake vyote, vifungo vyake, na mbao zake, na mataruma yake, na nguzo zake, na matako yake;

Kusoma sura kamili Kut. 39

Mtazamo Kut. 39:33 katika mazingira