Kut. 39:40 SUV

40 na ukuta wa nguo wa ua, na nguzo zake na matako yake, na pazia la lango la ua, na kamba zake, na vigingi vyake, na vyombo vyote vya kutumiwa katika utumishi wa maskani, kwa hiyo hema ya kukutania,

Kusoma sura kamili Kut. 39

Mtazamo Kut. 39:40 katika mazingira