43 Musa akaiona hiyo kazi yote, na tazama, walikuwa wameimaliza; vile vile kama BWANA alivyoagiza, walikuwa wameifanya vivyo; basi Musa akawaombea heri.
Kusoma sura kamili Kut. 39
Mtazamo Kut. 39:43 katika mazingira