6 Nao wakavitengeza vile vito vya shohamu, vilivyotiwa katika vijalizo vya dhahabu, vilivyochorwa mfano wa kuchora kwake muhuri, kwa majina ya hao wana wa Israeli.
Kusoma sura kamili Kut. 39
Mtazamo Kut. 39:6 katika mazingira