Kut. 40:29 SUV

29 Akaiweka madhabahu ya sadaka ya kuteketezwa mlangoni pa maskani ya kukutania, akatoa sadaka ya kuteketezwa juu yake, na sadaka ya unga; kama BWANA alivyomwamuru Musa.

Kusoma sura kamili Kut. 40

Mtazamo Kut. 40:29 katika mazingira