Kut. 40:38 SUV

38 Kwa maana lile wingu la BWANA lilikuwa juu ya maskani wakati wa mchana, na mlikuwa na moto ndani yake wakati wa usiku, mbele ya macho ya nyumba ya Israeli katika safari zao zote.

Kusoma sura kamili Kut. 40

Mtazamo Kut. 40:38 katika mazingira