21 wakawaambia, BWANA awaangalie na kuamua; kwa kuwa mmefanya harufu yetu kuwa chukizo mbele ya Farao, na mbele ya watumishi wake, mkatia upanga mikononi mwao, watuue.
Kusoma sura kamili Kut. 5
Mtazamo Kut. 5:21 katika mazingira