Kut. 6:1 SUV

1 BWANA akamwambia Musa, Sasa utaona nitakavyomtenda Farao; maana kwa mkono hodari atawapa ruhusa kwenda zao, na kwa mkono hodari atawafukuza katika nchi yake.

Kusoma sura kamili Kut. 6

Mtazamo Kut. 6:1 katika mazingira