Kut. 6:12 SUV

12 Musa akanena mbele ya BWANA, akasema, Tazama, hao wana wa Israeli hawakunisikiza mimi; basi huyo Farao atanisikizaje, mimi niliye na midomo isiyo tohara?

Kusoma sura kamili Kut. 6

Mtazamo Kut. 6:12 katika mazingira