Kut. 6:18 SUV

18 Na wana wa Kohathi; ni Amramu, na Ishari, na Hebroni, na Uzieli; na miaka ya maisha ya huyo Kohathi ilikuwa ni miaka mia na thelathini na mitatu.

Kusoma sura kamili Kut. 6

Mtazamo Kut. 6:18 katika mazingira