23 Haruni akamwoa Elisheba, binti ya Aminadabu, umbu lake Nashoni; naye akamzalia Nadabu, na Abihu, na Eleazari, na Ithamari.
Kusoma sura kamili Kut. 6
Mtazamo Kut. 6:23 katika mazingira