Kut. 6:25 SUV

25 Na Eleazari mwana wa Haruni akamwoa mmoja miongoni mwa binti za Putieli; naye akamzalia Finehasi. Hawa ndio vichwa vya nyumba za mababa ya Walawi sawasawa na jamaa zao.

Kusoma sura kamili Kut. 6

Mtazamo Kut. 6:25 katika mazingira